Tuesday 10 April 2018

Breaking News:Sababu ya Kocha Lwandamina Kuwasusia Yanga na kukimbilia kusikojulikana.

Image result for George Lwandamina
Kocha George Lwandamina hajulikani alipo, simu yake haipatikani.

Lakini Taarifa zinaeleza kwamba Lwandamina amekwenda kwao Zambia.

Imeelezwa Lwandamina ana mpango wa kujiunga na Zesco ya kwao Zambia.

Kuna taarifa kwamba hajalipwa mshahara wa miezi mitatu, hivyo ni kama amesusa baada ya kutotekelezewa ahadi zake.

No comments:

Post a Comment