Mshambuliaji mpya wa klabu ya Arsenal Alexandre Lacazette jana jumatatu usiku alifanikiwa kuifungia mabao 2 - 0 dhidi ya West Bromwich Albion katika mchezo wa Ligi kuu ya England , kwa bao la dakika ya 20 kipindi cha kwanza na bao lingine la dakika ya 67 kipindi cha alilofunga kwa njia ya penati.
Alexandre Lacazzete mpaka sasa amevunja rekodi ya Brian Marwood iliyowekwa mwaka 1988 ya kufunga katika michezo mitatu ya mwanzo ya ligi ya Epl. Kwa matokeo hayo yanawafanya Arsenal kubaki katika nafasi ya saba ya msimamo wa ligi kuu Uingereza wakiwa na alama zao 10 huku Manchester City wakiwa kilelen.
Arsenal (3-4-3): Cech; Mustafi, Koscielny, Monreal; Bellerin, Elneny, Xhaka, Kolasinac; Ramsey (Maitland-Niles 90), Sanchez (Ozil, 83), Lacazette (Giroud, 83)
Subs not used: Ospina, Mertesacker, Wilshere, Walcott
Goals: Lacazette 21, 67
Yellow cards: Sanchez 44
West Brom (5-3-2):
Foster; Nyom (Phillips, 74), Evans, Hegazi, Dawson, Gibbs; Livermore (Morrison, 63), Barry Krychowiak; Rodriguez, Robson Kanu (Rondon, 64)
Subs not used:
Myhill, Yacob, Brunt, McClean
Yellow cards: Evans 35, Dawson 49, Krychowiak 55, Nyom 66
Referee: Bobby Madley
Attendance: 59,134
No comments:
Post a Comment