Clement Sanga pichani ameibuka na ushindi na kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi baada ya kupata kura 10. Sanga amepata kura hizo 10 na kumuangusha mpinzani wake Yahaha Mohamed aliyepata kura 6.
No comments:
Post a Comment