Tuesday 17 October 2017

Tottenham watua Satntiago Bernabeu kuwakabili Real Madrid katika Eefa Champions League.

The Tottenham team complete some routine jogging exercises in a cavernous Bernabeu
Tottenham leo wako ugenini kwenye Uwanja wa Satntiago Bernabeu na wamefanya mazoezi ya mwisho tayari kuwavaa Real Madrid.
Pochettino was keen to keep the Tottenham squad together during their travels to Spain
Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa inasubiriwa kwa hamu kwa kuwa tayari kuna taarifa za Madrid kumtaka mshambulizi nyota wa Spurs, Harry Kane.

Harry Kane stretches his legs with the aid of a foam roller as he warms up during training

No comments:

Post a Comment