Monday 22 January 2018

Alichokifanya Christiano Ronaldo akiwa uwanjani baada ya Kuumizwa Usoni.

Pamoja na ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Derpotivo la Coruna walioupata Real Madrid katika La Liga, mshambuliaji wake, Christiano Ronaldo alikutana na dhoruba baada ya kuumia kwa kupasuka usoni.

Ronaldo aliumia kwa kuchanipa sehemu ya usoni baada ya kugongwa wakati akijaribu kufunga.

Alikuwa ameruka kichwa kwa lengo la kufunga lakini akagongana na mchezaji wa Derpotivo.
Cristiano Ronaldo checked the damage after getting a nasty cut to the head against Deportivo


Hata hivyo, Ronaldo alipata huduma nzuri na kilichovutia zaidi ni yeye kutumia simu ya daktari kuangalia kama alikuwa ameumia sana  au la. 



No comments:

Post a Comment