Kumekuwa na vita ya kurushiana maneno makali baina ya kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho na Kocha wa Chelsea Antonio Conte wamekuwa wakirushianan maneno na kutoa kauli za kukejeliana wazi wazi mbele ya waandishi wa Habari na katika mitandao.
Katika hali ya kushangaza wachekeshaji wawii Onnis na Corti kutoka nchini Italia wamemshangaza kocha wa Man United Jose Mourinho baada ya kumpelekea jezi ya Man United iliaweze kusain(Autography) kama alama ya kumbukumbu kwao jezi ambao ilikuwa ni ya klabu ya Man Unioted ila nyuma ya jezi Jina la jezi hiyo lilikuwa ni la hasimu wake namba 1 nchi Uingereza kocha wa The Blues Chelsea Antonio Conte jina hili liliandikwa ANTONIO CONTE 1
Wachekeshaji Onnis na Corti wakiwa na jezi ya Man United waliompelekea mourinho kuisain kama sehemu ya kumbukumbu kwao. |
No comments:
Post a Comment