Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga, limefanikiwa kuzima tukio la ujambazi katika kiwanda cha kutengeneza mafuta ya kupikia cha Jielong Holdings (Tanzania).
Majambazi hao wametimua na kutelekeza Bunduki aina ya AK-47 yenye namba 18116428 iliyokuwa imefungwa kwenye skafu yenye rangi ya nembo ya CHADEMA pamoja na Pikipiki aina ya SANLG
Kamanda wa Polisi wa Shinyanga ACP Simon Haule akionesha pikipiki aina ya SANLG iliyotelekezwa na Majambazi hao
Kaimu Meneja Mkuu wa kiwanda cha kutengeneza mafuta ya kupikia cha Jielong Holdings (Tanzania),Bw Liu Buhua akilishukuru jeshi la polisi mkoani Shinyanga kwa kuzuia uhalifu uliotaka kufanywa na majambazi
No comments:
Post a Comment