Wikiendi hii
kwenye michuano ya Premier League, Liverpool inarudi uwanjani siku 10 baada ya
ushindi mzito wa 5-0 walioupata dhidi ya Porto kwenye Ligi ya Mabingwa UEFA,
Jumamosi hii kwenye EPL wanawakaribisha Westham United Anfield wakiwa na matumaini
makubwa ya kupata matokeo, Je watafanikiwa?
Angalia
mechi hii MUBASHARA kwenye DStv Bomba kwa sh.19,000 tu, mechi itachezwa
saa 12 jioni ,Supersport 10.
Mechi
nyingine zitakazopigwa wikiendi hii kwenye Premier League ni:
·
Leicester
City dhidi Stoke City saa 9 alasiri kwenye Supersport 3
·
Watford
vs Everton saa 2 usiku kwenye Supersport 3
·
Burnely
vs Southampton saa 12 jioni Supersport 5
·
Na
AFC Bournemouth itacheza dhidi ya Newcastle United saa 12 jioni a kurushwa LIVE
kwenye Supersport 10 iliyopo kwenye kifurushi Bomba kw ash.19,000 tu!
Jumapili
ndio balaa lenyewe pale Manchester United ambao kwasasa
wanashika nafasi ya 2 kwenye msimamo wa EPL wakiwa na pointi 56 wanawakaribisha
Chelsea
ambao wapo nafasi ya 4 wakiwa na utofauti wa pointi 3 tu! Je, Man Utd
atashinda au Chelsea itafunga pengo?
Usikose
mechi hii, Jumapili saa 10 jioni kwenye Supersport 3 ya kifurushi DStv Compact
kwa sh.69, 000 tu!
Je hujajiunga na DStv? wahi sasa Ofa
ya THE
PUNGUZO, burudika na miezi miwili bure kwa kununua Dekoda pamoja na
Dish kwa sh.79, 000 tu!
Kujiunga
piga 0659 070707, THE PUNGUZO na DStv!!
No comments:
Post a Comment