Tuesday 27 February 2018

Timu Nane Bora zilizofuzu Kombe la shirikisho.

Image result for azam fc vs yanga
Michuano ya Kombe la Shirikisho iliweza kuendelea tena siku ya jana kwa mechi mbili kuchezwa kwenye viwanja tofauti.


Stand United ikiwa katika Uwanja wake wa nyumbani imeifunga Dodoma FC kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya dakika 90 kusonga mbele.

Mechi nyingine ambayo imechezwa ni Kiluvya United ambayo ilipokea kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Tanzania Prisons ya Mbeya.

Baada ya mechi hizo kukamilika, Tanzania Prisons na Stand United zimeweza kuingia nane bora ya mashindano hayo.

Timu zingine zilizoingia hatua ya 8 bora ukiachilia Tanzania Prisons na Stand United ni

Azam FC
Young Africans
Njombe Mji FC
JKT Tanzania
Mtibwa Sugar FC na
Singida United 

No comments:

Post a Comment