Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imemfungia maisha kutojihusisha na shughuli za Soka Makamu wa Rais wa TFF, Michael Wambura.
Wambura amefungiwa kutokana na kupokea fedha zisizo halali kiasi cha Shilingi milioni 84, kugushi nyaraka za malipo, na kula njama kulipwa fedha na waliokua viongozi wa TFF Jamal Malinzi na Selestin Mwesigwa.
No comments:
Post a Comment