April 19, 2018 ni siku ya kihistoria kwa msanii Alikiba ni siku ambayo msanii huyo amefanikiwa kuoa, mshindani wake kimuziki Diamond Platnumz hajakaa kimya kwenye hilo.
Diamond amefunguka kuwa amepewa taarifa za Alikiba kuoa siku ya leo, hivyo amemtumia salamu na kumtakia maisha mema ya ndoa. Kupitia ukurasa wake wa Intagram tumegulia kile alichogusia kuhusiana na ndoa ya Alikiba
Tazama video kusikia kauli ya Diamond.
Msanii Alikiba amefunga ndoa na mpenzi wake Aminah Rekish mjini Mombasa nchini Kenya.
No comments:
Post a Comment