Thursday 22 October 2020

Askofu Gwajima: Sijaacha kazi ya Mungu


 Mimi sijaacha kazi ya Mungu, nafanya vyote, nimepanua tu kazi, nilisema ukiacha halafu ukagombea ubunge umejishusha lakini mimi sijaacha nimepanda juu kidogo, nawatumikia watu nawapa watu Maji, nawapa watu Umeme, najenga Zahanati, nawapa watu mikopo kwahiyo mimi nimepanua” – Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe Kupitia CCM.

No comments:

Post a Comment