Monday 5 October 2020

DAVIDO ADAI WIZKID NA BURNABOY WAMEUNGANA KUMPOTEZA.



Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria,

@davidoofficial, amedai kuwa Mastaa

Wenzake @wizkidayo na @burnaboygram wameungana ili kutaka kumpoteza kwenye ramani ya muziki

nchini humo na nje ya Nigeria, Jambo ambalo amedai kuwa hawatoweza kufanikiwa.

Akizungumza katika kituo cha radio cha

@BounceRadioLive cha nchini Nigeria, Davido

amesema alijitahidi sana kuepuka bifu baina yake

na Burna Boy Pamoja na Wizkid , ila wawili hao

wameendelea kumchukia bila sababu ya msingi.

Davido alisikika akisema "Burna Boy alikasirishwa

na mimi kupost picha nikiwa na Wizkid, Kuna mtu

aliniambia kuwa @burnaboygram hakupendezwa na

ile picha. Nasikia wameungana ili kushindana na

mimi lakini hawatafanikiwa kwa hilo“.

No comments:

Post a Comment