Friday 16 October 2020

Tambo za Kocha Mpya wa Yanga .


 Kocha mpya wa Yanga Cedric Kaze,

ametua

Kaze anasema Jumamosi ataanza rasmi kazi ya

kufundisha kuelekea mechi yake ya kwanza

[Biashara United Vs Yanga] Oktoba 22, 2020.

Malengo yake ni kushinda ubingwa wa ligi kwa

sababu timu kama Yanga kipaumbele chake ni

kushinda kombe na amesema nafasi ya ubingwa

bado ipo wazi, Kaze anazijua vizuri

Simba, Azam, hadi kwenye msimamo wa ligi msimu

huu.


No comments:

Post a Comment