watu wengi dunia wanawafahamu matajiri wengi sana wanaopatikana sehemu mbalimbali duniani na miongoni mwa hao matajiri maranyingi wana kuwa wametajirika kulingana na sababu mbalimbali pengine ugunduzi wa jambo fulani lenye msaada kwa jamii kama ilivokuwa kwa mark zuckerberg mgunduzi wa facebook au hata kuwekeza katika biashara au vitu mbalimbali
mshukatz.blobsport.com Hinakuletea orodha ya matajiri wenye pesa nyingi kidunia ambapo pesa zao zinauwezo wa kutumika kizazi hadi kizadi na zisihishe...
20 – Friedrich Weyerhaeuser ($80 Billion)
Friedrich alizaliwa Germany lakini alifaliki Pasadena, California mwaka 1914. kabla hajafa alikuwa ni miongoni mwa watu wenye pesa nyingi duniani.Kupitia kampuni aliokuwa nayo ilioitwaa
Weyerhaeuser. kampuni hii ya Weyerhaeuser haikufanya vitu vikubwa zaidi ya vya kawaida hilijiusisha na kushugulikia biashara ya mbao ambayo ndio iliyompa pesa nyingi na umaarufu mkubwa na kupewa jina la TIMBER KING
Huyu ni muingereza aliye zaliwa 5 November 1855 – 20 May 1939), alikuwa ni judge na mwanasiasa aliyekuwa ni miongoni mwa mwanaume mwenye pesa nyingi nchini uingereza
18 – A.T. Stewar
Alexander
Turney (A.T.) ni miongoni mwa matajiri waliotengenzeza pesa nyingi sana duniani alikuwa ni moja kati ya wauuzaji dry goods (bidhaa kavu) kama mavazi,mablanketi na vitu vya kiasili na vya kawaida alikuwa na utajiri wa kiasi cha $ 90 bilion
17 – Stephen Girard ($105 Billion)
muda mwigine unaweza ukachanganya majina ukaisi ni mchezaji wa liverpool lakini laa ashah huyo yeye ni miongoni mwa mamirionea wa kubwa waliowahi kutengeneza kiasi kikubwa cha pesa duniani ni moja ya watu walioingia katika historia baaada ya kununua hisa zote katika bank ya kwanza ya marekani na kuibadili kuwa yake na kuweza kuisaidia serikali ya nchi ya marekani ilipoyumba marekani kiuchumi baada ya vita kuu ya dunia 1812
16 – John of Gaunt ($110 Billion)
Huyu yeye ni mtoto wa tatu wa King Edward III wa nchi ya uingereza ambaye ni miongoni mwa watu waliokuwa na pesa nyingi duniani akiwa alizaliwa katika familia yenye pesa .
15 – Richard FitzAlan ($118.6 Billion)
12 – Bill Gates ($136 Billion)
11 – Alan Rufus ($178.65 Billion)
10 – Cornelius Vanderbilt ($185 Billion)
9 – Henry Ford ($199 Billion)
8 – Muammar Gaddafi ($200 Billion)
7 – William The Conqueror ($229.6 Billion)
No comments:
Post a Comment