Sunday 25 October 2015

UCHAGUZI WAZIDI KUSHIKA KASI NCHINI TANZANIA

 











Mchakato wa upigaji kura katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania umeendelea na kumalizika salama kwa kiasi kikubwa huku zoezi la uhesabiwaji kura umeanza baadhi ya maeneo  matokeo Kura zinahesabiwa. Katika uchaguzi mkuu wa Tanzania, ambapo wapigaji kura walijitokeza kwa wingi, kufuatana na taarifa ya Tume ya Uchaguzi. huku baadhi ya vituo vikihairisha kupiga kura kutokana na changamoto mbalimbali vikiwemo uhaba wa vifaa na baadhi ya maeneo zikitoke vurugu za hapa na pale ikiwemo kuchomwa moto kwa vifaa vya upigaji kura  mkoani sumbawanga pamoja na baadhi ya maeneo mjini Zanzibar
Vituo vya kupigia vilifungwa jioni isipokuwa kwa wale ambao walikuwa vituoni, na bado hawakupiga kura.
               Baadhi ya wananchi maeneo mbalimbali  jijini Dar es salaam                                             


 

No comments:

Post a Comment