Saturday 14 November 2015

Taifa stars yahambulia sare katika mchezo dhidi ya Algeria

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Elius Maguli akishangilia baada ya kufunga goli la kwanza
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Elius Maguli akishangilia baada ya kufunga goli la kwanza
Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeeshindwa kuchomoza  na ushindi baada ya kulazimishwa sare ya kufungana magoli 2-2 na timu ya taifa ya Algeria kwenye mchezo wa kwanza wa kuwania nafasi ya kupangwa kwenye makundi kwa ajili ya kuwania kufuzu kushiriki michuano ya kombe la dunia itakayofanyika mwaka 2018 nchini Urusi.
Elius Maguli alianza kuifungia Stars bao la kuongoza dakika ya 43 kipindi cha kwanza akiunganisha kwa kichwa krosi ya mlinzi wa kushoto Hajji Mwinyi.  Mbwana Samatta akikamilisha sale hiyo katika dakika 54

Mbwana Samatta akishangilia goli lake alilofunga dhidi ya Algeria
Mbwana Samatta akishangilia goli lake alilofunga dhidi ya Algeria

Maguli 1

Maguli 4MAGULI 5

No comments:

Post a Comment