Dunia ipo katika kipindi cha
kutoweka, utafiti uliofanywa na vyuo vikuu vitatu vya Marekani
umebainisha na binadamu ndiye atakuwa mhanga wa kwanza.
Ripoti hiyo, iliyoongozwa na vyuo
vikuu vya Stanford, Princeton na Berkeley, imesema wanyama wenye uti
wa mgongo wanatoweka katika kiwango cha mara 114 zaidi kuliko
ilivyokuwa hapo awali.
Matokeo ya utafiti huo yanaungana na
matokeo yaliyochapishwa mwaka jana na Chuo Kikuu cha Duke, cha nchini
Uingereza.
No comments:
Post a Comment