Mashabiki ya wa club ya manchester united waonesha hisia zao mara baada Timu hiyo kutopata matokeo ya kuridhisha katika mechi zake za hivi karibuni kwa kufululiza sare katika mechi mbalimbali club hiyo ambayo ipo chini ya kocha Mholanzai Louis Van Gaal ambaye yupo matatani kutimuliwa baada ya club hiyo kutofanya vizuri katika michezo yake Van gaal ambaye alipewa mechi ya leo dhidi ya Chelsea kama mechi yake ya mwisho endapo atafanya vibaya kibarua chake kitaota nyasi, na moja ya watu wanaotajwa kuwa walithi wake ni kocha mwenye maneno mengi Jose Mourinho ambaye ametimbuliwa na club ya chelsea hivi karibuni na kama waswemavyo waswahili nyota njema uonekana asubuhi mashabiki wa Manchester united wonesha kumuhitaji Jose Mourinho kwa kufanya hivi
Monday, 28 December 2015
Hizi ndio Hisia za mashabiki wa Manchester united juu ya Mourinho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment