Floyd anaendelea kutanua maisha yake baada ya ku-staff kucheza masubwi na rakodi yake kutopigwa na kuingiza pesa nyingi kuliko boxer yoyote kuwahi kutokea.
Sasa hivi Floyd ana husishwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msichana mmoja mwenye miaka 19 ambae walikutana wakati Floyd yupo kwenye tour U.K
.
Rmarni Eliss mwenye miaka 19 anaonekana kuwa karibu sana na Floyd na picha nyingi anazo post anaonekana kuwa kwenye mapenzi na Mayweather.
Rmarni Eliss amepanda ndege private ambayo inasemekana imegharamiwa na Flody ambayo imempeleka hadi Miami huko yupo pamoja wanakula good time.
Bado hakuna hata mmoja wao ameweka wazi kama wapo kwenye mapenzi lakini dalili zote zinaonekana kwamba Floyd mwenye miaka 39 anaweza kuwa yupo kwenye uhusiano na Rmarni Eliss mwenye miaka 19. Pia upande mwingine mama wa binti huyo amesema kwamba mwanae hana uhusiano na Floyd lakini picha zinaleta utata
No comments:
Post a Comment