Mwongozo
huo umeorodhesha vyoo vya kila aina ambavyo bila shaka vina uwezo wa
kuwaacha wasafiri vinywa wazi au kuwa na kumbukumbu za kusalia nazo
daima.
“Vyoo ni dirisha la kuingia ndani katika moyo wa pahala
Fulani. Isitoshe, bila kujali unavipa jina gani, vyoo huwaweka watu wote
katika ngazi sawa,” kitabu hicho kinasema.
Hapa chini ni baadhi ya vyoo vilivyo kwenye mwongozo huo.
Vyoo hivi katika eneo la Bahia, Brazil vimo katika kituo cha kutunza kasa.
Choo hiki ambacho kinapatikana eneo lenye mandhari ya kupendeza kinapatikana Uswizi. Hapa ni mita 2,7000 katika milima ya Alps.
Choo hiki katika duka la Standard Grill katika mtaa
maarufu wa kufungia nyama New York kimeelezwa na wengi kama choo
kinachokanganya ubongo.
Vyoo hivi vijulikanavyo kama Between The Waters vinapatikana Emscherkunst nchini Ujerumani.
Hapa ni Wellington, New Zealand. Kwa kutazama picha,
ni vigumu kuelewa vyoo hivi hutumiwa vipi. Lakini waliozijenga walitaka
zifanane na miguu ya kambakoche.
Sunday 17 April 2016
Je Wajua:Tazama baadhi ya vyoo bora zaidi duniani(picha)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment