Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wenyeviti,
Makatibu wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa na Wilaya za Tanzania bara na Visiwani
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wenyeviti wa CCM wa Mikoa mbalimbali
wakipiga makofi kumshangilia Rais Dkt. John
Pombe Magufuli wakati akitoa hotuba yake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wenyeviti wa CCM wa Mikoa mbalimbali
wakipiga makofi kumshangilia Rais Dkt. John
Pombe Magufuli wakati akitoa hotuba yake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza kwa makini
taarifa zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya Wenyeviti na Makatibu wa CCM kutoka
mikoa mbalimbali nchini. Kulia kwake ni makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu
Mwenyekiti CCM Taifa Philip Mangula na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara Mohamed Sinani Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ally Mtopa Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono baadhi ya viongozi wa Chama cha
Mapinduzi CCM kutoka mikoa mbalimbali nchini mara baada ya kumaliza kuzungumza
nao Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment