Thursday 14 April 2016

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mhariri Mtendaji TSN


Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi JOHN KIJAZI, imeeleza kuwa Rais MAGUFULI ametengua uteuzi huo kuanzia tarehe 18 Machi, 2016.
Kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais MAGUFULI amemteua TUMA ABDALLAH kukaimu nafasi hiyo.

No comments:

Post a Comment