Mkurugenzi mkuu wa UTT-PID, Dakta GRATION KAMUGISHA amesema viwanja hivyo ni kwa ajili ya makazi, biashara pamoja na hoteli ambapo manispaa ya LINDI imepata faida ya shilingi bilioni mbili kupitia mradi huo.
Dakta KAMUGISHA ametoa wito kwa wateja wa UTT-PID kutoa ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo ili kuboresha utekelezaji wa maendeleo ya taifa.
UTT- PID imekamilisha mradi wa upimaji viwanja 2500 katika manispaa ya LINDI uliogharimu shilingi bilioni nne
No comments:
Post a Comment