Monday 21 March 2016

Mtandao wa Tigo waleta mpya wanafunzi kusoma kupitia simu ya mkononi

 
 Meneja wa huduma za jamii za Tigo Woinde Shisael (kulia) pamoja na mkurugenzi mtendaji wa shule direct Faraja  nyalandu
Tekinolojia inazidi kupiga hatua kila kikicha  sasa mtando wa Tigo Tanzania umekuja na mfumo mpya wa huduma kwa ajili ya wanafunzi,

wakizungumza wakati wa uzinduzi wa mfumo huo jijini DSM, Meneja huduma za jamii wa TIGO, WOINDE SHISAEL na mkuu wa asasi ya shule direct FARAJA KOTA wamesema mwanafunzi atasoma masomo tisa kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu.
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya AZANIA jijini DSM, PASCAL DAUDI amesema mfumo huo umemsaidia kufanya vizuri katika masomo yake kwa kuwa umemuwezesha kujifunza masomo mbalimbali kwa wakati.

No comments:

Post a Comment