Rais
amerejea kauli yake hiyo katika hotuba yake mwishoni mwa wiki
alipokuwa akizungumza na wananchi katika maeneo ya Arusha na Manyara
ambapo amewataka wananchi kufanya kazi kwa bidii ili kujipatia
maendeleo.
''Uwe unataka uwe hutaki Magufuli ndiye Rais na asitokee mtu akajifanya anapingana na serikali ya Magufuli atashindwa yeye''- Amesema Rais Magufuli.
Rais amesisitiza kwamba wafanyabiashara ambao wanaficha sukari ili serikali ionekane imeshindwa kutekeleza wake ni kufanya uhujumu na serikali yake haitalifumbia macho suala hilo.
Aidha Rais amewataka viongozi wa serikali kutenga muda wa kusikiliza kero za wananchi ili kuweza kuzishughulikia kuliko kusubiri hadi yeye azunguke na kukutana na kero nyingi za wananchi.
''Uongozi ni msalaba ndugu zangu, hata mimi nisingependa kusimama hapa muda wote nikisikiliza haya kwa sababu mengi yapo juu ya uwezo wenu, fanyeni kazi kwa maendeleo ya wananchi.''
Hata hivyo Rais ameweka bayana kwamba aliahidi kuwatumikia wananchi wa chini na hakuchaguliwa na matajiri hivyo atafungamana na wananchi hao kuhakikisha kero zao zinatatulika.

No comments:
Post a Comment