Monday 23 May 2016

Zitazame hapa Timu zilizoshuka Daraja katika ligi ya VPL Tanzania bara.


TIMU 3 Zilizoteremka daraja

Coastal Union
JKT Mgambo 
African Sports (zote za mkoa wa Tanga.)

Mfungaji Bora; 
Amis Tambwe-Yanga SC 21 Goals

 

Matokeo ya mechi za jana 


Simba 1-2 JKT Ruvu

Majimaji 2-2 Yanga

Azam 1-1 Mgambo

Mwadui FC 0-2 Kagera

Toto 0-1 Stand United

Mtibwa 2-0 African Sports

Mbeya City 0-0 Ndanda FC

Prisons 2-0 Coastal.



washindi wengine kama, mwamuzi bora wa msimu, kocha bora, golikipa bora wa msimu, timu yenye nidhamu-Washindi watatangazwa na Shirikisho la Mpira ( TFF) kwa kushilikiana na Bodi ya Ligi.

No comments:

Post a Comment