Hatimaye Bendi ya mwanamuziki gwiji wa muziki barani Afrika Marehemu Papa Wemba leo hii wameachia truck aliyofanya gwiji huyo enzi za uhai wake ambapo alimshirikisha msanii nyota kutoka Tanzania Diamond Platnumz nyimbo hiyo imeimbwa katika lugha mbili za Kifaransa na kiswahili huku ikiwa na ladha ya Rhumba.
Isikilize na Download Hapa
No comments:
Post a Comment