Klubu ya Manchester United inayonolewa na kocha mreno Jose Mourinho imekumbana na kipigo cha goli 4-1 kutoka kwa Borrusia Dortmund,ikiwa ndio mchezo wake wa kwanza akiwa kama kocha mpya katika klub hiyo katika mchezo wa kwanza wa mashindano ya International Champions Cup ambapo vilabu vingi hushiriki kama sehemu ya maandalizi ya msimu.
Manchester United (4-2-3-1):
Manchester United (4-2-3-1):
Johnstone (Romero 46); Valencia (A. Pereira 74), Bailly, Jones (Rojo 46), Shaw; Blind (McNair 65), Herrera; Mata, Mkhitaryan (Januzaj 65), Lingard (Young 46); Depay (Rashford 46)
Subs not used: Tuanzebe, Keane.
Goal: Mkhitaryan 59
Booked: Bailly
Jose Mourinho
Borussia Dortmund (4-2-3-1):
Weidenfeller; Passlack (Larsen 46), Sokratis (Bartra 61), Bender (Merino 61), Schmelzer (Burnic 63); Castro (Leitner 85), Rode (Sahin 63); Dembele, Ramos (Mor 62), Kagawa (Hober 64); Aubameyang (Pulisic 64)
Subs not used: Burki, Bonmann
Goals: Castro 19,
86 Aubameyang
(pen) 36,
Dembele 57
Booked: Sokratis
kocha Mourinho akimpa maelekezo Juan Mata
No comments:
Post a Comment