Friday 29 July 2016

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Chande Othman amtembelea Spika wa Bunge Ndugai.

13680860_1151226808254069_9063752949407369696_n.jpg
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed Chande Othman akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mke wa Spika Dkt Fatma Mganga. 



Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake.




USISAHAU KULIKE NA KUSHARE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUTU FOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPA ULIPO.ASANTE

No comments:

Post a Comment