Jina Noah limeingia kwenye orodha ya majina 10 mashuhuri zaidi kwa kupewa watoto wavulana kwa mara ya kwanza, huku Amelia likisalia kuwa jina ambalo wazazi wengi wanawapa watoto wasichana England na Wales, taasisi ya taifa ya Takwimu Uingereza imeonesha.
Jina Oliver ndio linaloongoza upande wa wavulana, likishikilia nafasi ya kwanza tangu 2013 nalo Amelia likiwa juu kwa wasichana tangu 2011. Watoto walioitwa Oliver mwaka 2015 ni 6,941 na Amelia 5,158.
Maafisa wa ONS waliorodhesha majina kando kwa mujibu wa jinsi jina liliandikwa.
Iwapo majina yanayotamwa kwa njia sawa yangewekwa pamoja, basi orodha hiyo huenda ingelikuwa tofauti kidogo.
Mfano ni jina Muhammad ambalo linashikilia nafasi ya 12 likiwa na watoto 3,730.
Kuna wazazi walioandika jina hilo kama Mohammed (2,332) na wengine kama Mohammad (976). Iwapo majina hayo yangejumlishwa, basi jina hilo lingelikuwa katika 10 bora.
Yalikuwepo majina ya kushangaza. Kwa mfano watoto wavulana 17 na wasichana 15 walipewa jina Baby.
Majuzi, utafiti ulionesha karibu sehemu moja kati ya tano ya wazazi Uingereza wanajutia majina waliyowapa watoto wao.
Wavulana 35 walipewa jina Rocky, na 21 wakapewa Apollo, labda kutokana na wahusika wakuu wa filamu ya ndondi Rocky Balboa na Apollo Creed.
Wavulana 15 walipewa jina Blue na wengine 14 wakaitwa Ocean. Na kunao 18 walipewa jina Blu.
Kuna jumla ya wavulana 36 ambao watahitajika kujifunza kuandika na kutamka jina lao, Tymoteusz.
Upande wa wasichana 280 walipewa jina Arya, mmoja wa wahusika wakuu filamu ya Game of Thrones, na wengine 562 wakaitwa Aria, 33 Ariah, 17 Aaria na sita Aariah, jina ambalo huenda ni moja ila likaandikwa tofauti.
Jina Kaleesi, pia kutoka kwa filamu hiyo, lilipewa wasichana watano.
Jina Princess lilipewa wasichana 72, ikikaribia wavulana 77 walioitwa Prince.
Takwimu hizo zinaonesha jina Oliver ndilo maarufu zaidi kwa wavulana maeneo yoteb ya Englandisipokuwa London na West Midlands, ambapo jina Muhammad linaongoza.
Jina Muhammad lilipita Oliver eneo la West Midlands mwaka 2014.
Majina mashuhuri zaidi 2015
Oliver 6,941
Jack 5,371
Harry 5,308
George 4,869
Jacob 4,850
Charlie 4,831
Noah 4,148
William 4,083
Thomas 4,075
Oscar 4,066
Majina maarufu kwa wasichana 2015
Amelia 5,158
Olivia 4,853
Emily 3,893
Isla 3,474
Ava 3,414
Ella 3,028
Jessica 2,937
Isabella 2,876
Mia 2,842
Poppy 2,816
Wasichana 72 walipewa jina Adele, 39 wakaitwa Paloma, kutokana na mwanamuziki Paloma Faith.
Kulikuwa na wasichana 35 walioitwa Rihanna, na tisa Rhianna.
Majina 50 mashuhuri zaidi ya wavulana na wasichana England na Wales mwaka 2015
Wavulana
Wasichana
Nambari
Jina
Watoto
Nambari
Jina
Watoto
1
OLIVER
6941
1
AMELIA
5158
2
JACK
5371
2
OLIVIA
4853
3
HARRY
5308
3
EMILY
3893
4
GEORGE
4869
4
ISLA
3474
5
JACOB
4850
5
AVA
3414
6
CHARLIE
4831
6
ELLA
3028
7
NOAH
4148
7
JESSICA
2937
8
WILLIAM
4083
8
ISABELLA
2876
9
THOMAS
4075
9
MIA
2842
10
OSCAR
4066
10
POPPY
2816
11
JAMES
3912
11
SOPHIE
2779
12
MUHAMMAD
3730
12
SOPHIA
2744
13
HENRY
3581
13
LILY
2711
14
ALFIE
3540
14
GRACE
2658
15
LEO
3468
15
EVIE
2529
16
JOSHUA
3394
16
SCARLETT
2285
17
FREDDIE
3219
17
RUBY
2215
18
ETHAN
2940
18
CHLOE
2158
19
ARCHIE
2912
19
ISABELLE
2119
20
ISAAC
2829
20
DAISY
2113
21
JOSEPH
2786
21
FREYA
2090
22
ALEXANDER
2759
22
PHOEBE
2081
23
SAMUEL
2705
23
FLORENCE
2053
24
DANIEL
2622
24
ALICE
2006
25
LOGAN
2610
25
CHARLOTTE
1951
26
EDWARD
2593
26
SIENNA
1941
27
LUCAS
2448
27
MATILDA
1774
28
MAX
2407
28
EVELYN
1770
29
MOHAMMED
2332
29
EVA
1753
30
BENJAMIN
2328
30
MILLIE
1673
31
MASON
2263
31
SOFIA
1640
32
HARRISON
2241
32
LUCY
1525
33
THEO
2103
33
ELSIE
1513
34
JAKE
2013
34
IMOGEN
1478
35
SEBASTIAN
1988
35
LAYLA
1428
36
FINLEY
1978
36
ROSIE
1403
37
ARTHUR
1966
37
MAYA
1354
38
ADAM
1903
38
ESME
1340
38
DYLAN
1903
39
ELIZABETH
1338
40
RILEY
1728
40
LOLA
1322
41
ZACHARY
1644
41
WILLOW
1308
42
TEDDY
1430
42
IVY
1275
43
DAVID
1394
43
ERIN
1249
44
TOBY
1363
44
HOLLY
1248
45
THEODORE
1302
45
EMILIA
1243
46
ELIJAH
1294
46
MOLLY
1215
47
MATTHEW
1279
47
ELLIE
1185
48
JENSON
1223
48
JASMINE
1182
49
JAYDEN
1219
49
ELIZA
1171
50
HARVEY
1190
50
LILLY
1146
CHANZO:BBC
USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETUFACEBOOKTIKISA MEDIA KUFOLLOWTWITTER@TIKISA MEDIANAINSTAGRAMTIKISA
ENTERTAINMENT MEDIAILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE
No comments:
Post a Comment