Saturday 10 September 2016

Hii ndio orodha ya wakurugenzi wa wilaya walioteuliwa na Rais Dr John Magufuli hii leo.

Image result for Hadson Kamoga
 Rais Dr John Magufuli leo hii amefanya uteuzi wa wakurugenzi wa wilaya ,ambapo  moja ya jina maarufu lililochomoza katika uteuzi huo ni la mtangazaji wa Clouds Tv Hadson Kamoga(pichani juu).


Kamoga ambaye anafanya kipindi cha Clouds 360 ameteuliwa kuwa Mkrugenzi wa Wilaya ya Mbulu,wengine ni kama barua rasmi toka ikulu inavyoonyesha hapo chini

USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE

No comments:

Post a Comment