Ligi kuu wa Uingereza imeendelea hii leo ambapo mechi kadhaa zimechezwa na moja kati ya mechi zilizochezwa ni ile iliokutanisha miamba wa jiji moja la manchester kati ya Manchester United na Manchester City ambapo mechi imechezwa katika dimba la Old Trafford.
Huku kikosi cha Pep Guardiola cha Manchester city kikiibuka kidedea kwa ushindi wa 2 -1 dhidi ya wenyeji wao Man utd
Kevin De Bruyne alifunga bao la kwanza la Man City dakika ya 15 alipovamia ngome ya Manchester United na kumpata mlinzi Daley akiwa usingizini.
De Bruyne akipachika goli la kwanza. |
Raia huyo wa ubelgiji pia alitoa mchango mkubwa katika bao la pili na Man City, baada ya kumpa pasi safi Kelechi Iheanacho ambaye aliutumbukiza mpira wavuni bila kuchelewa.
Iheanacho, mshambuliaji raia wa Nigeria mwenye umri wa miaka 19, alisema anafuraha sana kwa kuipa klabu yake bao la ushindi, na kuongeza imani yake mbele ya meneja Pep Guardiola.
Iheanacho akiipatia Man city goli la pili. |
MANCHESTER UNITED (4-2-3-1):
De Gea 6.5, Valencia 6.5, Bailly 5, Blind 6, Shaw 6, Pogba 6, Fellaini 6.5, Mkhitaryan 4.5, Rooney 6.5, Lingard 5, Ibrahimovic 7
Subs - Mata, Martial (for Shaw 81) Smalling, Rashford, (for Lingard 46, 7) Romero, Herrera (for Mkhitaryan 46, 6.5) Schneiderlin
Booked: Bailly, Fellaini, Ibrahimovic, Rooney
Scorer: Ibrahimovic 42'
MANCHESTER CITY (4-1-4-1):
Bravo 4.5 Sagna 6.5, Stones 7, Otamendi 6.5, Kolarov 6, De Bruyne 8, Fernandinho 6.5, Silva 7, Sterling 5, Iheanacho 6.5, Nolito 6
Subs: Zabaleta (for De Bruyne 90), Fernando (for Iheanacho 54, 6), Caballero, Navas, Sane (for Sterling 60, 6) Clichy, Garcia.
Booked: Silva
Scorers: De Bruyne 15',
Iheanacho 36'
Referee: Mark Clattenburg 6
man of the match: Kevin De Bruyne
Msimamo wa Ligi baada ya mechi
Habari ya picha.
Ibrahimovic akishangilia goli alioipatia man utd dakika ya 42.
USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA
ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE
|
No comments:
Post a Comment