Novemba 30 ilikuwa ni birthday ya mkali wa Bongo fleva Alikiba ambapo aliungana na uongozi wake kwenda mbuga ya wanyama ya Serengeti National Park kwa ajili ya kusherekea siku hiyo muhimu katika maisha yake.
Hata hivyo mkali huyo amechafua hali ya hewa mitandaoni baada ya kuposti picha yake wakati akisherehekea siku yake ya kuzaliwa na kuandika maneno kuwa anawaangalia Simba Original.
ujumbe huo umetafsiriwa kama kijembe kwa staa mwenzake Diamond Platnumz ambaye naye ujiita Simba.
Diamond Platnumz |
PICHA:Alikiba akiwa Katika Hifadhi ya Serengeti.
USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE
No comments:
Post a Comment