Friday 18 November 2016

Mahakama yatoa maamuzi kuhusu kesi ya uchaguzi wa ubunge ya Ester Bulaya na Stephen Wasira.

15056342_336171580084927_8459674159852629848_n.jpg
 Mbunge wa jimbo la Bunda-mjini, Esther Amos Bulaya, ameshinda kesi yake ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili, iliyofunguliwa na wanachama 4 wa CCM na aliyekuwa mgombea ubunge wa chama hicho, Steven Wassira.

kesi hiyo ya kupinga matokeo ya uchaguzi ilifunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, lakini ilikuwa inasikilizwa mjini Musoma, Mara.

USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE

                              SUBSCRIBE ON YOUTUBE TIKISA TV

No comments:

Post a Comment