Baada ya kujificha muda mrefu, hatimaye Cristiano Ronaldo ameonekana akiwa na mpenzi wake aitwaye, Georgina Rodriguez.
Ronaldo na mpenzi wake huyo mpya wameonekana mjini Paris, Ufaransa na kuzua gumzo kubwa, jana.
Lakini kilichowashangaza wengi zaidi ni Ronaldo kuvaa nguo zilizomficha akionekana alilenga kukwepa kujulikana.
Usiku wa kuamkia leo, licha ya kuwa na mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya, gumzo la mpenzi mpya limeonekana kuchukua nafasi kubwa.
USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE
No comments:
Post a Comment