Thursday 24 November 2016

VIDEO:Rais John Magufuli aeleza sababu ya kuivunja Bodi ya TRA.


Novemba 20 mwaka huu Rais Magufuli alitengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi hiyo, Bernard Mchomvu na kuivunja hiyo bila kueleza sababu zozote.


Rais John Magufuli ameeleza sababu za kuivunja Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kuwa ilitokana na bodi hiyo kuidhinisha mamlaka hiyo kuweka mabilioni ya fedha kwenye benki binafsi

Novemba 20 mwaka huu Rais Magufuli alitengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi hiyo, Bernard Mchomvu na kuivunja hiyo bila kueleza sababu zozote.

Akizungumza leo wakati wa sherehe za mahafali ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani, Rais Magufuli amesema kuwa TRA walichukuwa fedha mabilioni na kuweka fixed account benki 8 binafsi na bodi ikaidhinisha.

Tazama hapa akizumgumza



USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE



                                SUBSCRIBE ON YOUTUBE 
                                          
                                               TIKISA TV

No comments:

Post a Comment