Sunday 20 November 2016

Taarifa kutoka IKULU kuhusu Rais Magufuli kutengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TRA.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 20 Novemba, 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Bernard Mchomvu na kuvunja bodi hiyo kuanzia leo tarehe 20 Novemba, 2016.


Uteuzi wa Mwenyekiti mwingine wa Bodi ya Wakurugenzi wa TRA na Bodi ya Mamlaka hiyo utatangazwa baadaye.


Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
20 Novemba, 2016 


USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE

                                SUBSCRIBE ON YOUTUBE 
                                    
                                              TIKISA TV

No comments:

Post a Comment