Chelsea wamerejea tena kwenye usukani wa ligi ya England wakitoka nyuma na kuinyuka Tottenham ambayo imepoteza mchezo wa Premier League kwa mara ya kwanza msimu huu.
Christian Eriksen aliifungia Spurs bao la kuongoza dakika ya 11 na kuiamsha Spurs iliyotoka kupoteza mchezo wake wa ligi ya mabingwa katikati ya wiki.
Kikosi cha Mauricio Pochettino kilitawala mchezo hadi dakika ya mwisho ya kipindi cha kwanza ambapo Pedro alisawazisha bao kwa mguu wa kulia.
Spurs wameshindwa kuivunja rekodi mbaya dhidi ya Chelsea kwenye uwanja wa Stamford Bridge wakiwa wamefikisha michezo 30 bila ushindi tangu Februari 1990 baada ya Victor Moses kupachika bao la pili dakika sita baada ya kuanza kwa kipindi cha pili.
Chelsea:
Courtois, Azpilicueta, Luiz, Cahill, Moses (Ivanovic), Kante, Kante, Matic, Alonso, Pedro (Oscar), Costa, Hazard (Willian)
Unused subs:
Begovic, Fabregas, Batshuayi, Chalobah
Goals: Pedro.
Moses
Tottenham:
Lloris, Walker, Dier, Vertonghen, Wimmer, Wanyama, Dembele (Janssen) , Eriksen, Alli (Nkoudou), Son (Winks), Kane
Goals: Eriksen
Referee: Michael Oliver
Attendance: 41,515
Msimamo wa lLigi kwa sasa.
Msimamo wa lLigi kwa sasa.
Premier League
- Premier League
- Sky Bet Championship
- League One
- League Two
- Scottish Premiership
- UEFA Champions League
- UEFA Champions League Qualification
- UEFA Europa League
- UEFA Europa League Qualification
- FA Cup
- EFL Cup
- Community Shield
- International
- Ligue 1
- Serie A
- La Liga
- Bundesliga
- European World Cup Qualification
No comments:
Post a Comment