Wednesday, 9 November 2016

VIDEO:Rais Obama anena haya kuhusu ushindi wa Donald Trump.

Rais Obama amempongeza mrithi wake katika mazungumzo ya simu mapema asubuhi akisema kwamba sio siri kwamba yeye na Trump wana tofauti kubwa kati yao.

Donald Trump atakuwa rais wa 45 wa Marekani baada ya ushindi mkubwa.
Atafanya mkutano wake wa kwanza wa mpito na rais Obama katika ikulu ya White House siku ya Alhamisi.




USISAHAU KULIKE NA KU-SHARE NA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK TIKISA MEDIA KUFOLLOW TWITTER @TIKISA MEDIA NA INSTAGRAM TIKISA ENTERTAINMENT MEDIA ILI HABARI ZOTE KUBWA ZIKUFIKIE HAPO ULIPO.ASANTE

                              SUBSCRIBE ON YOUTUBE TIKISA TV

No comments:

Post a Comment