Sunday, 22 January 2017

Taaarifa kamili kutoka Ikulu kuhusu uteuzi wa Anna Kilango Malecela Kuwa mbunge.

Image result for Anne Kilango Malecela
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,  tarehe 21 Januari, 2017 amemteua Anne Kilango Malecela kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Anne Kilango Malecela ataapishwa kwa mujibu wa taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

21 Januari, 2017

No comments:

Post a Comment