Saturday, 29 July 2017

HIVI PUNDE: Okwi aanza mazoezi na wenzake Afrika kusini.


Mshambuliaji Emmanuel Okwi, ametua katika kambi ya Simba nchini Afrika Kusini na leo asubuhi ameanza mazoezi.


Okwi ameanza mazoezi na wenzake katika kambi ya timu hiyo jijini Johannesburg, Afrika Kusini.

No comments:

Post a Comment