Sunday, 30 July 2017

Yanga yasidi kuongeza nguvu waleta kifaa kingine.

Ule usajili uliokuwa unasubiriwa kwa hamu wa Yanga, umekamilika.

Sasa imemsajili kiungo Raphael Daud kwa mkataba wa miaka miwili.


Kiungo amejiunga tayari na kambi ya Yanga mjini Morogoro na kesho rasmi ataanza mazoezi.

No comments:

Post a Comment