Friday, 14 July 2017

Manchester City yafanikiwa kumnasa Kyle Walker.

Manchester City imezidi kujiimarisha katika safu ya ulinzi baada ya kumwaga dau kubwa la pauni million 50 kumnasa beki wa kulia wa Tottenham, Kyle Walker.

Beki huyo ambaye anakipiga timu ya taifa ya England pia, ametua Man City na kusema anavutiwa na kazi ya Kocha Pep Guardiola.
The former Tottenham right back poses with a freshly printed version of his new No 2 shirt

Tayari Walker aliishaichezea Tottenham mechi 228 akiwa  White Hart Lane kwa miaka nane mfululizo.

No comments:

Post a Comment