Kipa Aishi Manula ameondoka kwenda Afrika Kusini kuungana na kikosi chake kipya cha Simba. Simba ipo kambini nchini Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya wa 2017-18.
No comments:
Post a Comment