Thursday, 3 August 2017

Hii ndio sababu ya Usajili wa Singano kukwama Morocco.


Kiungo Ramadhani Singano amerejea Dar es Salaam kimyakimya.

Taarifa zinaeleza kuwa usajili wake umekwama huko Morocco ambako aliichezea timu ya Difaa Al Jadid mechi moja ya kirafiki.


Benchi la ufundi halikuvutiwa naye kutokana na kuwa na wachezaji wanaofanana naye kiuchezaji na walionekana ni wakali zaidi.

No comments:

Post a Comment