Kiungo mpya wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi ameanza mazoezi na kikosi chake mjini Pemba. Tshishimbi ameanza mazoezi hayo leo kujiandaa na mechi dhidi ya Simba.
No comments:
Post a Comment