Thursday 17 August 2017

PICHA:Dakika 90 za ushindi wa Real Madrid dhidi ya Barcelona.

Real Madrid 2-0 Barcelona (agg 5-1): Asensio nets stunner

Baada ya kuichapa Barcelona katika mechi zote mbili za Spanish Super Cup, Real Madrid hawa hapa wakiwa na mwali wao ndani ya Santiago Bernabeu.
Vijana hao wa Zinedine Zidane wameshinda mechi ya kwanza ugenini kwa mabao 3-1 kabla ya kushinda mechi ya pili kwa mabao 2-0, hivyo kuibuka na ushindi wa jumla wa mabao 5-1 dhidi ya Barcelona.
Cristiano Ronaldo, suspended for the second leg as part of a five-game ban, took to the pitch to hold the trophy at full-time

The young Spaniard hit a ferocious drive with his left foot which flew and fizzed through the air before hitting the top corner
Asensio is congratulated by his buoyant team-mates as Real Madrid further extended their lead against rivals Barcelona
Barcelona talisman Lionel Messi cuts a dejected figure after Asensio's opener gave the visitors a real uphill task to overcome
Losing the first leg of Spanish Super Cup 3-1 at the Nou Camp, Barcelona's challenge became harder after just four minutes
Cristiano Ronaldo (right, middle row) was forced to watch on from the stands as he began his five-game suspension
C.Ronaldo akifuatilia mchezo nje, baada ya kupewa adhabu ya kuto cheza mechi tano 
Barcelona captain races forward with the ball and keeps control as Real Madrid midfielder Mateo Kovacic attempts to keep up

Luis Suarez whacks the ball with his right foot from just inside the area but was unable to hit the net for Barcelona


No comments:

Post a Comment