Sunday, 20 August 2017

Tazama Jinsi wanamsimbazi walivyojitokeza katika kujadili mabadiliko ya klabu ya Simba hii leo.


Wanachama wa Simba wamejitokeza kwa wingi katika mkutano wao unaotarajia kufanyika leo kuhusiana na suala la mabadiliko ya klabu yao.

Idadi kubwa ya wanachama hao imeonekana ikiingia katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ikionyesha uitikio mkubwa.
Wanachama hao watakuwa na nafasi ya kuchangia na kutoa maoni yao na kuangalia kipi sahihi kipi la kuhusiana na mabadiliko hayo.

No comments:

Post a Comment