Thursday 7 September 2017

HIVI PUNDE: Mtekaji wa watoto afariki dunia kwa kupigwa risasi.

[ā€‹IMG]
mtekaji Samson Petro

Mtuhumiwa Samson Petro ambaye ndie mtekaji na muuji wa watoto wawili Maureen na Ikram amefariki dunia kwa kupigwa na risasi wakati akitaka kutoroka mikononi mwa Polisi jijini Arusha.

Mtuhumiwa alipigwa risasi mbili za miguu wakati akijaribu kutoroka na ndipo alipofariki dunia akiwa hospital ya Mount Meru.

No comments:

Post a Comment